Wanasiasa wazidi kutofautiana kuhusu hoja ya kubanduliwa kwa Naibu Rais Gachagua

  • | TV 47
    4,956 views

    Migawanyiko inazidi kushuhudiwa katika vyama vya kisiasa nchini huku viongozi wakitofautiana hadharani kuhusu mswada unaolenga kumbandua mamlakani naibu wa Rais Rigathi Gachagua.Katika chama cha odm, tayari baadhi ya viongozi chamani humo wanaonekana kuupa kisogo mswada huo, huku wabunge katika eneo la mlima kenya wakiendelea kubadili misimamo yao, baadhi yao wakitangaza kusimama na Gachagua. Je, hatua hii ina maana gani kwa mswada huo unaotarajiwa kupigiwa kura na wabunge siku ya jumanne wiki kesho? __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __