Naibu wa rais Gachagua ajitetea na kukana kuwa na kampuni inayomilikiwa na mkewe

  • | TV 47
    585 views

    Naibu rais Gachagua amesema kuwa kampuni ya morani ambayo anadaiwa kutumia kupata kima cha shilingi bilioni tano nukta saba kwa miaka miwili sio kampuni yake na kwamba kampuni hiyo ina milikiwa na mkewe naibu rais dorcas rigathi na joshua waiganjo Gachagua kupitia wakili wake danstan omari sasa anataka kushtaki mbunge mwegi mutese kwa kudai kuwa ni yeye anamiliki kampuni hiyo, omari akisema kuwa dorcas ambaye ni mke wa rais hakuchaguliwa kuwa katika nafasi hiyo na kwa hivyo hatakiwi kuhusishwa katika siasa dhidi ya gachagua. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __