Wakaazi wa Nakuru wataka rais Ruto aondolewe pamoja na Gachagua

  • | Citizen TV
    2,091 views

    Wabunge wa maeneo ya Nakuru Mashariki na Nakuru Magharibi waliongoza zoezi kutoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua naibu Rais Rigathi Gachagua. Hata hivyo wabunge wa maeneo bunge mengine katika kaunti ya Nakuru kama Njoro na Molo hawakufika kuongoza zoezi hilo huku wananchi wakitoa mseto wa maoni kuhusu hoja ya kumtimua gachagua.