Watu wanane wauawa baada ya mapigano ya kikabila kuzuka Tana River

  • | Citizen TV
    400 views

    Watu Wanane Wameuawa Katika Mzozo Baina Ya Jamii Mbili Kuhusu Ardhi Na Malisho Katika Kaunti Ndogo Ya Bangale Huko Tana River. Watu Wanne Waliuawa Katika Eneo La Bangale, Wengine Wakiuawa Katika Eneo La Nanighi Na Mtu Mmoja Akiuawa Katika Eneo La Kbc. Jumamosi Watatu Wakizikwa Huku Wakaazi Wa Eneo Hilo Wakilalama Kuwa Maafisa Wa Polisi Wamefumbia Macho Machafuko Hayo Wanayodai Yanachochewa Na Wanasiasa. Willy Lusige Na Taarifa Hiyo.