Bunge kuwasilisha rasmi ripoti ya maoni ya wakenya bungeni Jumanne

  • | Citizen TV
    519 views

    Ofisi ya Karani wa bunge la Taifa inapokea na kukagua maoni ya wananchi kuhusu kutimuliwa kwa naibu rais Rigathi Gachagua kutoka maeneo bunge mbali mbali nchini, kabla ya kuwasilisha maoni hayo bungeni rasmi. Maoni hayo, yatajadiliwa kwenye kikao cha kuangazia hoja ya kumuondoa naibu rais mamlakani Jumanne katika bunga la taifa.