Kampuni ya Migodi yashambuliwa

  • | NTV Video
    45 views

    Wakazi wa Kijiji cha Isulu katika eneo bunge la Ikolomani, Kaunti ya Kakamega, wamelilaani shambulio dhidi ya Kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya Shanta na kuwaacha walinzi wanne wakiwa na majeruhi mabaya na mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa ikiteketezwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya