Serikali yaahidi kuboresha maslahi ya walimu,siku ya kimataifa ya walimu ikiadhimishwa

  • | KBC Video
    11 views

    Serikali imewahakikishia walimu kuwa itaendelea kuboresha maslahi yao kwa kutatua changamoto zote zinazowakabili. Wakati wa sherehe za kuadhimisha siku ya walimu duniani katika kaunti ya Nakuru, waziri wa Elimu Julius Ogamba alikiri jukumu muhimu la walimu katika maendeleo ya taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive