Naibu Rais Rigathi Gachagua amuomba Rais Ruto msamaha

  • | Citizen TV
    18,955 views

    "Naomba Msamaha kwa yote niliyokosea"......Huu ndio ujumbe wa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa rais William Ruto na hata wabunge, siku mbili kabla ya kufika bungeni kujitetea kwenye mdahalo wa kumbandua mamlakani. Gachagua pia ameomba msamaha kwa niaba ya mkewe Dorcas Gachagua kwa kile anasema huenda aliwakwaruza watu kwenye kazi zake. Na kama Kamau Mwangi anavyoarifu, Gachagua aliyeonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu mchakato wa kumbandua kuanza rasmi amejutia matamshi yaliyoonekana kuwa ya kikabila