Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wanawasihi wakaazi kukomesha vita vya kijamii

  • | NTV Video
    310 views

    Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wanawasihi wakaazi katika kaunti hiyo kukomesha vita vya kijamii. Vita hivyo, vimeripotiwa kuanza eneo la Bangali ambapo watu 8 waliuwawa jana jumamosi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya