Waziri wa Mazingira Aden Duale apatana na wadau kufuatia usafishwaji wa Mto Nairobi

  • | TV 47
    28 views

    Wizara ya mazingira yawania kurejesha hadhi ya Mto Nairobi.

    Waziri wa Mazingira Aden Duale apatana na wadau kufuatia usafishwaji wa Mto Nairobi.

    Uhifadhi wa mto Nairobi Kwa kilomita 47 unaendelea.

    Usafishwaji wa Mto Nairobi unaendelezwa kupitia mradi wa Climate Worx Mtaani.

    Wadau wametowa maoni, kurejesha hadhi ya mto Nairobi.

    Wito kwa wakaazi wa Nairobi kushirikiana ili kuhakikisha mto huo unasafishwa.

    #Tv47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __