Kiwanda cha sodo kujengwa Migori

  • | KBC Video
    45 views

    Afisi ya mwakilishi wanawake bungeni katika kaunti ya Migori kwa ushirikiano na serikali ya Uturuki , imezindua kiwanda cha kutengeneza sodo zinazoweza kutumika zaidi ya mara moja.Utengenezaji wa sodo hizo unatarajiwa kuimarisha afya ya hedhi na kurahisisha upatikanaji wa sodo hizo kwa wasichana wanaobaleghe na wanawake kutoka familia maskini. Kiwanda hicho kitasaidia kuongezea idadi ya sodo zinazotolewa bila malipo na serikali kwa shule za msingi za umma ambayo imekuwa ikipungua kwa muda wa miaka miwili iliyopita

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive