Tembea Kenya: Tamaduni za Italia zimeathiri maisha mjini Malindi

  • | KBC Video
    6 views

    Mji wa Malindi katika eneo la Pwani mepewa jina la utani “Italia Ndogo.” Jina hili sio tu kutokana na fuo za kuvutia na kiwango cha kuridhisha cha joto lakini pia limejikita katika historia ya mji huo ,ubadilishanaji wa tamaduni na uhusiano kati ya Italia na Johari hii ya eneo la pwani. Katika Makala yetu ya Tembea Kenya tunaangazia mji wa Malindi ambao ni kivutio kikubwa cha watalii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive