Josephine,mtaalamu wa masuala ya mtandao aelezea kuhusu kuishi na ugonjwa wa utindio wa ubongo

  • | KBC Video
    3 views

    Tangu utotoni Josephine Mwende,ameazimia kuwa na fikra chanya kuhusu hali yake ya afya na kukabiliana na unyanyapaa unaohusiana na hali yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 33 ni mhandisi aliyeidhinishwa wa masuala ya mtandao na mama wa mtoto mmoja. Josephine anatuelezea kinachompa msukumo na ukakamavu ambao imemsaidia kukabiliana na hali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive