Jamii ya Waata launda baraza la wazee ili kutetea maslahi yake

  • | Citizen TV
    375 views

    Jamii ya Waata katika Kaunti ya Kilifi imeunda baraza la wazee ili kutetea maslahi yake katika kitengo cha ugatuzi na kupigania kutambuliwa kama jamii ya asili ya Kenya