Wakulima wa miwa Busia wataka mamlaka ya kudhibiti ubora wa vyakula na kilimo nchini kutoa hamasa

  • | Citizen TV
    435 views

    Wakulima wa miwa katika kaunti ya Busia wameitaka mamlaka ya kudhibiti ubora wa vyakula na kilimo nchini -AFA - kutoa hamasa ya kutosha kufuatia ongezeko la visa vya wizi wa miwa katika kaunti ya Busia