Mahakama yaamrisha tume ya IEBC na chama cha UDA kuteua rasmi majina ya wawakilishi wadi

  • | Citizen TV
    5,827 views

    Mahakama ya Nanyuki imeamrisha tume ya IEBC na chama cha UDA kuteua na kuchapisha rasmi majina ya wawakilishi wadi wawili watakaoongezwa kwenye bunge la kaunti hiyo