Mbunge wa Emgwen Josses asema Naibu Rigathi Gachagua alijikaanga mwenyewe

  • | NTV Video
    1,257 views

    Mbunge wa Emgwen Katika Kaunti ya Nandi Josses Lelmengit anashikilia kuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alijitakia na kujikaanga mwenyewe baada ya kwenda kinyume na matarajio ya BOSI WAKE Rais Wiliam Ruto kupitia semi zake za kupinga na kuhujumu utendakazi wa Serikali ya Kenya Kwanza Nchini

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya