Meru: Waumini wa kanisa la PCEA waandamana na kumkosoa mchungaji wao

  • | NTV Video
    477 views

    Ibada ya kanisa katika parokia ya PCEA Igoki Kusini katika eneo la Imenti kaskazini kaunti ya Meru ilitatizwa baada ya waumini wa kanisa hilo kuandamana na kuingia barabarani wakimshtumu mchungaji wao kwa vitisho na matumizi mabaya ya rasilimali

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya