Kaunti ya Lamu inajivunia Kuwa na mandhari ya kuvutia

  • | NTV Video
    316 views

    Kaunti ya Lamu inajivunia kuwa na mandhari ya kuvutia ikijulikana sana kwa bahari, lakini sasa kuna utajiri mwingine ambao haujakumbatiwa vilivyo wa wanyama. Eneo hilo lina aina tofauti ya wanyama pori wakiwemo twiga, punda milia na hata simba. Wito sasa umetolewa kwa wenyeji kukumbatia utajiri huo kwa manufaa ya uchumi wa Amu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya