Mashirika ya kijamii yaitaka serikali iheshimu haki za binadamu

  • | K24 Video
    19 views

    Ombi la Kenya la kujumuishwa kwenye baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu huenda likaambulia patupu, baada ya baadhi ya mashirika ya kijamii kulisihi baraza hilo kupinga ombi la kenya la kujiunga nao kwa awamu ya mwaka wa 2025 hadi 2027. mashirika hayo ya yakiongongozwa KHRC yamesema kenya haipaswi kupewa fursa hiyo kufuatia ongezeko la ukiukaji wa haki za kibinadamu dhidi ya wakenya hasa wakati wa maandamano ya genzii.