Mahakama yampata shaibu mwenye kosa la njama ya kuua familia yake juu ya umiliki wa ardhi

  • | K24 Video
    18 views

    Mahakama ya Naivasha imempata shaibu mwenye umri wa miaka 72 na kosa la njama ya kuua familia yake juu ya umiliki wa ardhi eneo la Molo, inayodaiwa kuwa ya thamani ya mamilioni ya pesa. Mahakama hiyo imedokeza kuwa mshukiwa na mwanawe wa kike walioko marekani waliwakodi watu wawili kutekeleza mauaji hayo kwa malipo ya shilingi milioni 2.