Ndugu waliovunja rekodi za dunia kwa kucheza na mpira

  • | BBC Swahili
    0 views
    Soka la mtindo huru, sanaa ya kuchezea mpira kwa kutumia sehemu yoyote ya mwili huvutia wengi. Ndugu wawili wa Nigeria wameweka rekodi katika umahiri wa kucheza mtindo huru katika soka, mmoja kama mwenye viwango vya juu zaidi na mwingine kama kijana mwenye umri mdogo zaidi kushikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness nchini Nigeria. #bbcswahili #nigeria #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw