Wawakilishi wadi wazua fujo kwenye mazishi ya Jones Mutai huko Kericho

  • | Citizen TV
    408 views

    Vurugu zilizuka katika kijiji cha kipkerieny bureti kaunti ya kericho kwenye mazishi ya aliyekuwa mwakilishi wadi wa zamani jones mutai kutokana na tofauti za wanasiasa kuhusu kubanduliwa mamlakani kwa gavana wa kaunti hiyo erick mutai.