Jaji Lawrence Mugambi atuma baadhi ya mashtaka kwa Martha Koome kwenye kesi inayomkabili Gachagua

  • | Citizen TV
    7,157 views

    Jaji Wa Mahakama Kuu Lawrence Mugambi Ametuma Baadhi Ya Mashtaka Kwa Jaji Mkuu Martha Koome Kwenye Kesi Inayomkabili Naibu Wa Rais Rigathi Gachagua Ili Abuni Jopo Litakalosikiliza Kesi Hiyo Kama Wanavyotaka Mawakili Wake.