Wezi wa dawa za hospitali wamulikwa kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    155 views

    Waziri wa Afya Kaunti ya Samburu Dkt.Nasir Lekudere,amewaonya maafisa wanaojihusisha na wizi wa dawa za matibabu. Ameyasema hayo katika zoezi la usambazaji dawa katika hospitali zote za umma Kaunti hiyo. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.