Sherehe za Maulid zaadhimishwa Isiolo

  • | Citizen TV
    144 views

    Waumini wa dini ya kiislamu katika kaunti ya ISIOLO waliadhimisha sikukuu ya MAULID, siku ambayo ni ukumbusho wa kuzaliwa kwa mtume muhammad.