Muungano ya wakandarasi kaunti ya Migori walalamika baada ya zabuni kupewa wafanyikazi wa kaunti

  • | Citizen TV
    112 views

    Muungano ya wakandarasi katika kaunti ya Migori wamelalamikia usimamizi wa kaunti hiyo Kwa kutoa zabuni kwa wafanyakazi wa kaunti kinyume cha sheria.