Utafiti wa Infotrak waonyesha asilimia 73% ya wakenya wanasema taifa linaelekea pabaya

  • | Citizen TV
    6,470 views

    UTAFITI wa kampuni ya infotrak unaonesha kuwa asilimia 73% ya wakenya wanasema kuwa taifa linaelekea pabaya. aidha asilimia 44% wanaona kwamba bunge la seneti litamtimua naibu wa rais rigathi gachagua huku waziri wa usalama profesa kithure kindiki akipendekezwa kurithi kiti hicho na asilimia 20% ya wakenya.