Gachagua anamtaka Koome kutoa mwelekeo kabla ya bunge la seneti kujadili kesi ya kumbandua ofisini

  • | TV 47
    5,587 views

    Naibu rais rigathi gachagua kupitia mawakili wake amemwandikia jaji mkuu martha koome kuunda jopo maalum la majaji kusikiliza kesi yake inayolenga kusimamisha kubanduliwa kwake mamlakani na bunge la seneti. Hii ni baada ya mahakama ya juu kuwasilisha kesi hiyo kwa jaji mkuu ikisema masuala yaliyoibuliwa na gachagua ikiwemo jinsi alivyobanduliwa na bunge la kitaifa pamoja na shughuli ya kukusanya maoni ya wakenya inaibua masuala mazito ya kikatiba. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __