Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi asema kuwa Kenya imetia saini mkataba mwingine na Adani

  • | TV 47
    17 views

    Ili kuboresha na kuimarisha usambazaji wa umeme, wizara ya nishati, kupitia kampuni ya usambazaji umeme kenya (KETRACO), imeingia katika makubaliano ya kibiashara na washirika wa kimataifa kama vile kundi la adani ili kuboresha huduma za umeme na vituo vya kupokea umeme nchini. Waziri wa nishati opiyo wandayi alitangaza kuwa ketraco imekamilisha makubaliano na kundi la adani ili kuharakisha maendeleo ya miundombinu muhimu ya umeme. Ketraco na adani energy ltd zimesaini makubaliano ya sh 95.7 bilioni ya kuendesha na kudumisha mistari ya usambazaji wa umeme na vituo vya kupokea umeme kwa muda wa miaka 30 katika juhudi za kupunguza mgao wa umeme kulingana na waziri wandayi. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __