Taifa la Kenya kuwatuma maafisa wa polisi 600 kupiga jeki misheni ya kudumisha usalama nchini Haiti

  • | TV 47
    108 views

    Maafisa wa polisi 600 kutoka Kenya watatumwa nchini Haiti mwezi ujao ili kuongeza idadi ya maafisa walioko nchini humo kuwa elfu moja. Hii ni kulingana na rais William Ruto, aliyezungumza wakati wa ziara ya waziri mkuu wa Haiti Garry Conille. Ruto aidha alidokeza kuwa kuna bajeti ya kutosha kufadhili operesheni hiyo ya amani hadi mwezi machi mwaka ujao. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __