Mahakama yamuachilia huru mbunge wa Sirisia John Waluke

  • | KBC Video
    45 views

    Mbunge wa Sirisia John Waluke sasa yu huru.. Hii ni baada ya mahakama kubatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 67 gerezani kwenye kashfa ya mahindi ya shilingi milioni 313. Kwingineko, sarakasi ilijiri katika mahakama ya Mbita baada ya babake mvulana wa umri wa miaka 12 aliyeuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano ya vijana ya kupinga mswada wa fedha kutofautiana na uamuzi wa mahakama. Taarifa hizi kwa kina ni kwenye kitengo chetu cha Mizani ya Haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News