Jopo la majaji-3 kusikiliza kesi kuhusu kubanduliwa kwa Gachagua

  • | KBC Video
    950 views

    Mahakama kuu imewasilisha kesi za kupinga kuondolewa mamlakani kwa naibu rais Rigathi Gachagua kwa jaji mkuu Martha Koome kubuni jopo la majaji kusikiliza na kuamua kesi hiyo.Katika uamuzi wake,jaji Lawrence Mugambi alisema kesi hizo zimeibua maswala mazito ya kikatiba ,ambapo mwelekeo unahitajika kutoka kwa jaji mkuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News