Kazi Ni Kazi: Ushonaji

  • | KBC Video
    36 views

    Kwenye makala yetu ya Kazi ni Kazi leo, ripota wetu Fredrick Muoki amekutana na fundi wa nguo ambaye amegeuza mapenzi yake ya kushona kuwa kitega uchumi. Katika juhudi za kujikimu kimaisha Lucy Mahinge amekuwa mwenge wa matumaini kupitia ushonaji wake wa mavazi ya kuvutia na sare za shule.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News