Askofu Wallace Ng’ang’a atawazwa kuwa Askofu wa kijeshi

  • | KBC Video
    111 views

    Rais William Ruto amepongeza uhusiano ulioko baina ya serikali na kanisa akisema ni nguzo ya kuleta maendeleo. Rais alikariri haja ya kuendeleza ushirikiano baina ya asasi hizo mbili ili kuimarisha huduma za afya na elimu. Aliyasema hayo wakati wa kutawazwa kwa Askofu Wallace Ng’ang’a kuwa askofu wa kijeshi na hivyo kumfanya kuwa mlezi wa kiroho wa vikosi vya ulinzi humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive