Gachagua amgeukia mungu na mahakama akitafuta haki

  • | Citizen TV
    3,665 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua sasa anasema amesalia tu na matumaini ya mungu na haki ya idara ya mahakama ili kumuokoa kutokana na hoja ya kumuondoa mamlakani. Gachagua aliyehudhuria hafla katika kanisa la kianglikana mjini embu aliwashambulia wabunge waliounga mkono hoja ya kumuondoa mamlakani. Gachagua anajiandaa kwa utetezi wake siku ya jumatano na alhamisi kabla ya hatma yake kuafikiwa.