Juhudi za jamii ndogo ya Wapare kutambuliwa na kutangamana na jamii zingine Taita Taveta

  • | Citizen TV
    438 views

    Jamii ya Wapare na Wataveta wanaoishi kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania ni miongoni mwa jamii zenye idadi ndogo zaidi katika kaunti ya Taita Taveta. Hata hivyo, juhudi zao za kuungana na kuimarisha uwiano kai yao zimechangia umoja wa jamii hizi ambazo kati yazo zina chimbuka nchini Tanzania.