Serikali itatoa shilingi bilioni moja kwa wakaazi wa bonde la Kerio ambao wamepoteza mali yao

  • | NTV Video
    180 views

    Serikali sasa imeonekana kusikia kilio cha wenyeji wa baadhi ya maeneo ya bonde Kerio, ambao wamepoteza mali yao pamoja na mtaji wao kufuatia uhalifu wa wizi wa mifugo bondeni humo, baada ya serikali kutangaza kuwa itatoa shilingi bilioni moja, kama fidia ya wao kuanza maisha yao upya .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya