Wenyeji Bomachoge Chache wataabika kusafiri na kufikia huduma muhimu

  • | Citizen TV
    163 views

    Wakazi wa kijiji cha Misesi eneo la Bomachoge Chache wameandamana kulalamikia hali mbaya ya barabara inayounganisha eneo hilo na eneo bunge la Bonchari.