Familia inadai haki baada ya jamaa yao kupigwa risasi, Naivasha

  • | Citizen TV
    1,176 views

    Familia moja inalilia haki baada ya mwanao kudaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi jumapili usiku nje ya eneo moja la Burudani mjini Naivasha. Jimmy ngugi anasema tofauti zilitokea baada ya kumpata afisa huyo akikojolea pikipiki yake. Polisi huyu anaripotiwa kumpiga risasi shingoni kabla ya kutoweka