Shughuli zilitatizwa katika bunge la kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    1,893 views

    Shughuli zilitatizika leo katika bunge la kaunti ya Nyamira baada ya ghasia kuzuka kufuatia mzozo wa uongozi. Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuyakabili makundi mawili hasimu yaliyokuwa yakikabiliana kuhusiana na kuondolewa ofisini kwa Spika Enock Okero