Gavana Sang atahadharisha wakulima dhidi ya kupuuzwa kwa mfumo wa kuongeza thamani ya mahindi

  • | KBC Video
    35 views

    Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang amewatahadharisha wakulima humu nchini dhidi ya kile anachokitaja kuwa kupuuzwa kwa mfumo wa kuongeza thamani ya mahindi na kuangazia mimea mingine katika juhudi za kuimarisha sekta ya kilimo. Gavana Sang amesema hatua hiyo itaathiri mpango wa kuhakikisha taifa hili lina chakula cha kutosha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive