Serikali itaajiri walimu elfu 20 mwezi Januari mwakani

  • | KBC Video
    171 views

    Serikali itaajiri walimu elfu 20 mwezi Januari mwakani ili kupunguza nakisi ya uwiano baina ya walimu na wanafunzi. Rais William Ruto amesema fauka ya walimu hao kuajiriwa, walimu wanagenzi elfu 46 ambao wamehudumu kwa kipindi cha miaka miwili watapata ajira kwa masharti ya kudumu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive