Wakazi wa Nyeri wamkashifu rais Ruto kwa kumsaliti naibu rais Gachagua wakati wa dhiki

  • | NTV Video
    531 views

    Wakazi wa kaunti ya nyeri wamemkashifu rais william ruto na kumtaja kuwa msaliti kwa madai ya kukataa kuunga mkono aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua wakati wa dhiki. Wakaazi hao waliojawa na hasira wanasema wanahisi kwamba ruto alitumia gachagua kupata kura eneo hilo na baadae kumtema na kumteaua kithure kindiki kuwa naibu rais.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya