Askofu wa Katoliki la Murang'a waomba amani baada ya DP Gachagua kuondolewa naibuni

  • | NTV Video
    569 views

    Askofu wa kanisa katoliki jimbo la murang'a james maria wainaina amewataka wakenya kudumisha amani hata baada ya shughuli ya kumfukuza kazi aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua. Wainaina amesema kuwa wakati huu ambapo mzozo umezuka kutokana na mchakato huo ni sharti wakenya waunganishwe.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya