Wakimbizi wanne kutoka Uturuki watekwa nyara jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    3,830 views

    Familia Nne Za Wakimbizi Kutoka Taifa La Uturuki Zinalilia Serikali Kuwasaidia Kuwapata Wapendwa Wao Waliotekwa Nyara Na Watu Waliojihami Na Kudai Kuwa Maafisa Wa Kiusalama. Kulingana Nao Watu Saba Walitekwa Nyara Ijumaa Asubuhi Kabla Ya Watatu Kuachiliwa Na Wanne Kuendelea Kuzuiliwa. Shirika La Amnesty International Limekashifu Tukio Hilo Na Kutaka Serikali Kuwatafuta Mateka Hao