Kina mama wajawazito katika hospitali ya Mama Lucy walazimika kulala sakafuni kutokana na msongamano

  • | Citizen TV
    3,043 views

    Hospitali Ya Mama Lucy Jijini Nairobi Imejipata Pabaya Baada Ya Wagonjwa Hususan Kina Mama Wajawazito Na Wale Waliojifungua Na Kulazwa Kulalamikia Kulazimishwa Kulala Pamoja Na Wana Wao Wachanga. Baadhi Yao Wameokosa Nafasi Na Kulazimika Kulala Sakafuni Bila Chochote Cha Kujisitiri Licha Ya Hospitali Hiyo Kuwakata Ada Ya Kitanda Kila Siku. Willy Lusige Na Taarifa Hiyo Kwa Kina.