Joh Makini: Nyota wa muziki wa Hip Hop Tanzania

  • | BBC Swahili
    213 views
    John Simon Mseke maarufu kama Joh Makini, ni msanii na mtunzi wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania akiwa na nyimbo nyingi zilizompatia umaarufu Afrika Mashariki kama Chochote popote, hao, Don’t Bother, humu tu, formula na nyingine nyingi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw