Afya Bora kwa Wote: Rais Ruto awataka Wakenya kuwa na subira

  • | KBC Video
    26 views

    Rais William Ruto amewataka Wakenya kuwa na subira na mfumo mpya wa afya akisema utoaji huduma utaimarika pindi mpito huo utakapokamilika. Huku akiwaongoza Wakenya kuadhimisha Siku ya Mashujaa katika Kaunti ya Kwale, Rais Ruto alidumisha kuwa halmashauri ya afya ya jamii itahakikisha kuna usawa katika utoaji huduma za afya.Rais pia alitangaza kuwa madeni ambayo hazina ya kitaifa ya bima ya afya inadaiwa na hospitali na wadau wengine yatalipwa kuanzia wiki ijayo.Kamche Menza anatuletea taarifa hiyo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive