- 51 views
Baadhi ya wafanyabiashara sasa wanasema kwamba joto la kisiasa linaathiri mazingira ya biashara humu nchini. Uchunguzi uliofanywa na runinga ya KBC channel one katika kaunti ya Kiambu, ulifichua kuwa wafanyabiashara wengi wanatatizika kuendeleza biashara zao huku wengi wao wakiwa bado hawarejea katika hali yao ya kawaida kutokana na matatizo mbalimbali ambayo yameshuhudiwa humu nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Na kama Fredrick Parsayo anavyotuleza, wafanyabiashara wameelezea hali ya kukata tamaa kutokana na hali ya sasa ya kisiasa kuhusiana na kuondolewa mamlakani kwa naibu rais Rigathi Gachagua na uwezekano wake wa kuathiri vibaya imani ya wawekezaji katika taifa hili.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Wanabiashara walalamikia hali ya kisiasa nchini
- - Siasa za ndumakuwili ››
- 12 Mar 2025 - Water Cabinet Secretary Eric Mugaa has attributed the stalled construction of the Thwake multi-purpose dam at the confluence of Thwake and Athi rivers on the Kitui-Makueni counties border to the Russia-Ukraine war.
- 12 Mar 2025 - Atandi will be deputized by Dr. Robert Pukose following a hotly contested but decisive election.
- 12 Mar 2025 - The Commission for University Education has flagged 15 institutions for operating illegally in Kenya.
- 12 Mar 2025 - An investigation has been launched after a Kenya Forest Service officer allegedly shot a civilian dead at Kiptunga Forest in Kuresoi South on Tuesday evening.
- 12 Mar 2025 - The ministry has warned that facilities caught contravening storage regulations will face consequences.
- 12 Mar 2025 - Kalonzo addressed the matter after a section of Kenyans criticised him.
- 12 Mar 2025 - The commission called on involved parties to immediately cease hostilities.
- 12 Mar 2025 - Patrick Kagunda Karanja, who appeared before High Court Judge Justice Florence Muchemi, is accused of murdering Francis Gichini on February 3, 2025, in the Gatundu South Sub-county.
- 12 Mar 2025 - Kenya pushes for inclusive drug policies, stressing global cooperation to address women’s unique challenges in substance abuse recovery.
- 12 Mar 2025 - The delay in disbursing the funds has led to protests by University students across the country.